-->

HAMU YA MAPENZI IKIIPITILIZA NA HUNA MPENZI SOMA HII ITAKUSAIDIA


😂😂😂ukiweka taswira ya mtu gizani uja kama ilivyo game ya kila kitu katika maisha ya mwanadamu imetawaliwa na ubongo akili asilimia 99% ....
Kwaiyo ukute mtu anasema sipendi sina mtu sina mpenzi nawezaje zuia hamu za mapenzi wakati kwenye simu yake kuna picha za ngo--n*. au anasoma mada na makala za mapenzi wakati huna mpenzi kwanini usiluke acha
Pia kama huna shughuli za kufanya kukuweka bize uwezi kwa kweli mawazo ya ng.o.n* yanakuja tu😂😂😂
Pia mtu anasema nawezaje jizuia hamu za mapenzi wakati sina mpenzi ukimuuliza mara ya mwisho kwenda kwa ibada lini utacheka hata akienda ibadani kwa fasheni anza mwabudu Mungu wa kweli na chukia dhambi kama hayo mawazo yatakaa karibu na wewe...
Mawazo ya mapenzi yakizidi sana kichwani mwako ni rahisi sana vamiwa na majini mahaba .........
Hata ndoa yako subutu sababu ndoa kwa mtu ambaye anahamu ya mapenzi ni kazi sababu hamu ya mapenzi uanza kwenye ulimwengu wa roho na shetani akikushika tu ndoa yako kazi itataka hamu ikae na wewe ili usiolewe..
Ukawe na nguvu ya Mungu kujiendekeza na nyege nyege mbaya sana dunia imekwisha maana saizi majini mahaba mengi sana yamevamia watu🙏🏽🙏🏽🙏🏽nguvu za mawazo ya sS-ee-x zishindwe juu yako sasa
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU