Kwanza ifahamike wazi hitaji la Mwanaume kwa Mwanamke ni kubwa kuliko vile Mwanamke anaweza kuwa na uhitaji wa Mwanaume japo Wanaume hujifanya kama hawana hitaji kubwa kwa Mwanamke wakati huo huo ANAKUWA NA WANAWAKE WATANO KWA WAKATI MMOJA huu sio umende 🐞 kweli😂😂😂
MUNGU kamjaalia Mwanamke UVUMILIVU WA KI MWILI japo maumbile yake aliyawekea MOTO🔥 kwamba iwapo Mwanamke atamhitaji mwanaume kwa moto🔥 halisi WANAUME WENGI HAWAWEZI KUZIMA MOTO🔥 WA MWANAMKE⛔ kwa sababu hitaji la Mwanamke ni kwa Mwanaume mmoja ajuaye THAMANI YAKE.
Wanaume ni watu wa KUTAMANI na hilo ndilo limewafanya kumzoea Mwanamke hata kuyafanya MAHUSIANO pamoja na NDOA kufa na kusababisha UHASAMA wa Mapenzi 😭
Mwanaume huwazia zaidi MDINYO👙 kuliko PENDO ambalo lipo kwa Mwanamke ndo maana hujikuta hajui kwa hakika ni MWANAMKE yupi hasa anatakiwa awe MKE WAKE🤷♂️ Ila atakapokuwa AMETANGA NA NJIA NA HAJAONA WA KUMPENDA ndipo huangukia hata kwa MWANAMKE ALOJIKATAA😎 mwisho wake ni kubakia akilalamikia wanawake.
Mwanaume ambaye ANADUMU NA MWANAMKE NI YULE ANAYEMPA THAMANI MWANAMKE kinyume cha hapo NAO NI WADANGAJI TU😂😂