-->

Kupendwa na Mwanamke ni mkakati si bahati tu,

Kupendwa na Mwanamke ni mkakati si bahati tu, Moyo wa Mwanamke ni mwepesi kuhamia chumba cha jirani ikiwa pendo lake litakosa Njozi pevu! ðŸ˜˜
Mwanamke hahitaji moyo wake utumike kusukuma siku ziende bali unataka uishi kweli katika kupenda! 
Linda imani ya anayekupenda, nje na hapo utalaumu kuwa hakuna mwanamke mwaminifu, ukiwa umesahau umefanya Uzembe!😭
Massage sent to all my fans!
#Share na wengine wajifunze!
Image may contain: 2 people, wedding
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU