-->

FURAHA YAKO HAIWEZI KULINGANISHWA NA MWONEKANO WAKE


Kuna watu wapo katika Mahusiano ya kimapenzi lakin ni kama wako utumwani.
Hawana aman wala raha, thaman ya mahusiano yao inalindwa na unyonge wao pamoja na uzito wa mifuko yao.
Kwao mapenz si raha wala amani, mahusiano kwao ni kama kuongeza matatizo na matumiz ya kuwafilis katika maisha yao.
Je ww upo katik mahusiano ya namna gn?
Au ww upo katik mapenz na mtu anayekufanya mtumwa wa ngono. Hakutafut wala hakujal mpaka ajisikie hamu ya ngono, unakuwa mzur pale tu anapotaka penz lako na si vinginevyo.
Mapenzi maana yake aman na furaha.
Muonekano wake na kaz yake havina maana kwako kama hupat raha na thaman halis ya penzi.
Ni ujinga kujisifu kuwa na mpenz tajir ila anakuliza na kunyanyasa.
Haina maana kuwa na mtu mwenye muonekano wa kusisimua kila mtu ila anakufanya mtumwa katik Maisha yako.
Aman katika mahusiano yako inatokana na kuwa na mtu makin mwenye kujua thaman na ubora wako katik maisha yake kinyume cha hii ni kinyume cha furaha yako.
Kama upo katik uhusiano na mtu ambaye anakufanya ulie na ujutie kuwa naye, suluhisho si kulia.
Tiba si kusema una mikos.
Huna mikos wala huna bahat mbaya.
Kama unajitoa kwa ajil yake kisha hathamini.
Kama unaumwa akiumwa ila ukiumwa wewe hajali, anakuulizia hal yako mpaka uanze kujisemesha kwake mtu wa aina hii wa kaz gn?
Furaha ya maisha yako ina thaman kuliko mali na muonekano wako.
Sasa ya nin kuwa na mtu ambaye anakufanya hata usistahil kuishi?
Ni vizur sana kupigania uhusiano wako, ila ni uzezeta kupigania uhusiano kwa mtu ambaye anaonesha dhahir hakujali, hakuthamin na zaid anafanya matendo ya kukudhalilisha.
Huenda ni mzur sana, huenda utajir wake unakupa sifa sana mtaani, ila kuna thaman kat ya hivyo kinacholingana na thaman ya maisha yako?
Kitaalamu ni kuwa huwez kufanya vizur katik maisha kama kila siku ww ni mtu wa huzun na fadhaa.
Sasa ya nin kumpa mtu thaman katik maisha yake kisha yeye anakuwa kikwazo cha ustaw wako katik maisha?
Ni vema ikafahamika kuwa uamuzi ndiyo kitu kinachoamua hal ya maisha yako katika lolote. Kama ilivyo kuwa ukiamua kufanya kaz kwa bidii na kuwa na matumiz sahih ya kipato chako ndivyo utakavyojiweka katik nafas kubwa ya kufanikiwa,ndivyo ilivyo katik uhusiano.
Kama ukiamua kujifanya sugu kuvumilia matusi,dharau na usalit wa mtu wako unaokufanya kila siku uwe mtu wa huzun badala ya furaha ndivyo kila siku utakavyokuwa unajiweka mbal na furaha halis katik nafas ya kuwa na mtu atakayekuthamin na kujal hal yako.
ITAENDELEA...✍️✍️
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU