-->

Acha kuwa mlokole sana kwa mpenzi wako, acha kujifanya kuwa wewe ni mgumu sana kwa mpenzi/mwanamke wako.


utamu kitandani app

Iko hivi, wanawake wanahitaji miguso, si ile ya kitandani tu, lakini mkiwa njiani hembu tafuta sbabau tu ya kumgusa mpenzi wako na kumsugua kimahaba. Mmesimama mnasubiri chips, simama nyuma yake, mguse kwa nyuma, mvutie kwako awe kama anakuegemea flani, mmesimama sehemu, mshike mabega, zungusha mkono kwenye shingo yake, mvuute kama unamkaba flani hivi.
Mmesimama sehemu kwenye foleni, muweke mbele yakomvute kwa nyuma egemeza mikono yako kwenye kiuno chake kama umechoka flanihivi, m, natembea mshike hata mkono basi! Mmekaa sebuleni, chukua miguu yake ikandekande juu ya mapaja yako, hata kama ina magaga yasugue, ni yako! Mbali na kwamba miguso hii inasisimua na kumuongezea hamu ya kuwa na wewe lakini inampa kujiamini na kuona kweli wewe ni wake.
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU