ππππππππππππ
πππMwanaume hataki kuoa etyi hajajipanga lakini ana vimada na watoto wa zinaa Kila Konaππ
πππ Mwanamke umetoa mimba weeee!!madai hujawa tayari kuzaa Kisha ukiolewa unaanza kuzurura kwa waganga na nyumba za ibada ili upate mtoto ulidhani Mungu ni Babu yako??
ππππππππππ
ππππππππππ
πππMi nataka mwenza mwenye dini mcha Mungu wakat mwenyewe hata kibla huijui
πππππ
πππππ
Umehongwa gari Kisha unamshukuru Mungu ππππ
πππ
πππKila anaetaka kukuoa unamtoa kasoro wakati unazini na mume wa mtu zero brain πππ

πππUnamsema vibaya mwenza wako wakat bado unaishi naeππ
πππππYani Kila mtu ana tabia mbaya na anakukosea lkn wewe humkosei yeyoteπ
πππππ
πππUmevaa kimini Kisha unahangaika kujiziba mapaja na vipochiπ¨zero brain ππ
ππππ
πππππUmeweka nywele za bandia kope bandia umejichubua chubu na hipsi la kichina Kisha ukiambiwa umependeza unajibu na uzuri unachangiaππππ zero brain πππ
ππππUkiwa na matatizo ndio unakesha kumuomba Mungu yakiisha hata kumtaja kwa bahat mbaya inashindikana uliambiwa Mungu ni mjomba wakoππzero brain ππ

Tubadilikee✉️✉️π€