-->

#MWANAUME MWEREVU USITISHA MAHUSIANO ALIYO NAYO KWANZA KABLA YA KUANZISHA MAHUSIANO MAPYA.

UTAMUZAIDIAPP
πŸ’˜πŸ˜
#Kumsaliti mpenzi mwema ni sawa na kutupa almasi na kuokota jiwe.
πŸ’˜πŸ˜
#Kusaliti katika mapenzi ni uchaguzi binafsi wala siyo kukosea au shetani kukupitia, usiwe mpumbavu.
πŸ’˜πŸ˜
#Usidanye, usisaliti, usitoe ahadi usizoweza kuzitekeleza katika mahusiano.
πŸ’˜πŸ˜
#Faida pekee unayo jipatia ndani ya usaliti ni woga na hatia.
πŸ’˜πŸ˜
#Msahau aliye kuumiza jana ila usimsahau wala kumuacha anayekupa furaha na kukupenda kwa dhati leo.
πŸ’˜πŸ˜
#Anaye simamishwa bila sababu, anaweza kuanguka pasipo majibu.
πŸ’˜πŸ˜
#Usaliti ni uchoyo ambao mtu uufanya katika mahusiano.
πŸ’˜πŸ˜
#Usimlilie asiyeweza kukulilia kwa kuwa wapo wengine hujali hisia zao na kuchezea hisia za wengine.
πŸ’˜πŸ˜
#Athari za usaliti katika mahusiano
--uondoa hisia za mapenzi ya kweli.
--humfanya mtu awe na mtazamo hasi kuhusu mahusiano.
--uondoa amani na furaha ya mtu.
--uumiza moyo.
--uondoa uwepo wa Mungu na kumkaribisha shetani.
πŸ’˜πŸ˜πŸ’˜πŸ˜
#Usimsaliti mpenzi, kama huna furaha naye mwache na umruhusu aende.
πŸ’˜πŸ˜
#Kumsaliti mpenzi mwema anayemcha Mungu, itakupelekea kumpata mpenzi muhuni anayefanana na tabia yako.
πŸ’˜πŸ˜πŸ’˜πŸ˜
KUTAMBULIKA MSALITI KATIKA MAHUSIANO NI KOVU BAYA NDANI YA MAHUSIANO.
πŸ’˜πŸ˜
#Watu wengi husaliti wapenzi wao kwakuwa hujari zaidi kile wanacho kikosa kuliko kile walicho nacho.
πŸ’˜πŸ˜
#Dakika mbili za usaliti uua ndoa ya miaka ishirini kizembe.
FIKIRI KABLA YA KUTENDA
πŸ’˜πŸ˜
#Wanaume wanafaa kupenda na kuwalinda wanawake, siyo kuwa umiza na kuwasaliti.
πŸ’˜πŸ˜
BARIKIWA
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU