πππππ
β
β
Kama unadhani busu linalohusisha ndimi na mate ni kitu kidogo na cha kawaida basi fikiria mara mbili, yamkini unatenda tendo hili lakini hujui undani wake. Mtaalam mmoja alisema βIn the mating game, a kiss is more than a kiss, it is a taste testβ.
Mate ya binadamu yanahusisha chembechembe βmoleculesβ kutoka maeneo mbalimbali ya mwili wako, mara ndimi zenu zinapokutana βmoleculesβ hizi hutuma ujumbe katika ubongo wa mwanaume na mwanamke.
Watafiti wamegundua kwamba kuna wingi wa βbioactive testosteroneβ katika mate ya mwanaume kuliko kwa mwanamke, hali hii huyapa mate ya mwanaume uwezo mkubwa wa kuamsha ndani ya ubongo wa mwanamke hamu na hisia kubwa za kufanya tendo la ndoa.

Hii ndiyo sababu inayofanya wanawake wengi kushindwa kujizuia kufanya tendo la ndoa mara tu wanaporuhusu mwanaume kugusanisha ndimi βtongue/French kissβ.
*
πππππππππ
Dr Luvπ€π€π€
πππππππππ
Dr Luvπ€π€π€