-->

HIVI UNAJUA MSIBA WA MAPENZI...!

Msiba wa mapenzi ni pale unapoongea na simu na mpenzi wako usiku mwingi afu akakuambia kata kuna mtu muhimu anapiga..unauliza ni mama anajibu hapana ..ni baba hapana..unauliza nani sasa anakujibu we kata tu bwana kama hukati mi ntakata! Afu unapiga saa zima iko busy ndio kwanza wanaitafuta saa saba usiku na hujaambiwa ni nani aliyepiga ndugu yangu moyo lazima uanze kucheza makhiri makhiri ndugu yangu kama ulijui bonde la ufa ndio hilo sasa..#kibonde
Counsellor
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU