-->

UKIONA NDOA IMEPATIKANA KI RAHISI BASI UJUE KWAMBA KILA MMOJA AMECHOSHWA NA KUTANGA NA NJIA😎

Image may contain: 2 people, people sitting and indoor
Ndoa inaanzia kwenye KUFAHAMIANA na baadaye KUJENGA DHAMANAπŸ’
Kinachofuata ndicho kinachobeba maana ya MAPENZI;
"MAZOEA"
Kwa sasa NDOA imekuwa kama bidhaa isokuwa na ubora kwa sababu moja tu;
"MWANAUME NA MWANAMKE kutamani kupata mtu kwa ajili ya kupata mtoto, kupata pumziko baada ya mahangaiko ya ki mahusiano, Na wengine kwa ajili ya unafuu wa ki maisha"
Huwezi kuwa na NDOA IMARA ikiwa umeolewa ama kumuoa Mtu ambaye anatafuta kivuli🌲 cha maisha, NDOA IMARA inatokana na MTU ama WATU walioitafuta NDOA kwa ajili ya kuilinda IMANI YA NDOA lakini pia kwa KUAMINI KUTENGANISHWA NA KIFO
Kinyume chake ni kwamba;
KUTEGESHEANA NANI MDHAIFU AWEKEZE KWA MWINGINE kwa sababu ndoa yao haina UPENDO na wala UPENDO hauwezi kuwa pamoja na wawili hao, Mara nyingi napenda kusema MAHUSIANO YANALINDWA KWA KUULINDA MWANZO WA MAKUTANO YA WAPENZI ni kama kitabuπŸ“˜ hata ukifika mwisho lazima ujue ukurasa wa kwanza ulisemajeπŸ˜…
Ukiona MWANZO hauishi nanyi Basi tarajia lolote kwenye NDOA yenu, Maana Mwanzo ndiyo ulioleta TASWIRA ya ninyi kuwa pamoja, Kama taswira haipo kwa uhalisia kumbe MNALINDWA NA NINI KWENYE NDOA YENU?
Msingi wa NDOA unajengwa na MATENDO YA UPENDO wala usifikiri NDOA inaweza kujengwa kwa VYAKULAπŸŸπŸ”πŸ— MAVAZIπŸ‘˜πŸ‘–πŸ‘•πŸ‘— ama tendo la ndoa, Hivyo vinapatikana popote kulingana na nafasi yako ama kwa wakati uutakao ila sio UPENDOπŸ’ž
Upendo unajengwa kulingana na UHITAJI WA NAFSI YA KILA MHITAJI ndo maana huwezi kulazimisha UPENDWE wala huwezi kumlazimisha mtu ajue UNAMPENDA kwani nafsi huongea kwa kushiriki matendo yenye upendo kwa Mwenza wako, Usijidanganye kwamba UNAPOFANYA KILA JITIHADA AONE UNAMPENDA ETI NAE ATAKUPENDA never hilo ni kujitaabisha tu.
Kwenye UPENDO hapana nguvu wala kulazimisha mambo bali ni mahala patulivu na palipojengeka ki AMANI NA FURAHA kinyume chake NI SEHEMU YA KULALA BAADA YA MAHANGAIKO YA MCHANA KUTWAπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
#Elista_Kasema_ila_Sio_SheriaπŸ‘£
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU