-->

UFANISI WA JAMBO LOLOTE UNAHITAJI UTULIVU WA AKILI



Image may contain: 1 person

I... Uko na mpenzi wako lakini akili yako inawaza mambo Mengine kabisaa, Mwanamke ili aweze kuwa tayari katika tendo la ndoa inambidi Mwanaume kumuandaa kisaikolojia lakini pia ki mwili, Mapenzi ni moyo na moyo huo huo hupelekea akili kuwa sababu ya tendo la ndoa, Wewe akili yako haina utulivu SAA NGAPI UTAMPA BURUDANI MWANAMKE? Muda mwingine muachage kusingizia kila kosa kasababisha mwanamke Kwani Mwanaume wewe ni kichocheo cha UTULIVU WA MWANAMKE.
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU