-->

SIKU HIZI MAUMIVU TUNAJITAKIA WENYEWE

Image may contain: 1 person, sitting, stripes and indoor

Maumivu ya MOYO mtu unajipa mwenyewe kulingana na vile wewe mwenyewe unashindwa kubalance UHITAJI WAKO MWENYEWEπŸ™‡
Unaweza kuwa mhitaji wa KITU ama MTU lakini wewe Mwenyewe hujajua namna nzuri ya kupokea UHITAJI WAKO.
Kama unahitaji KITU lazima ujue una uwezo nacho? Maana mbuzi🐐 anakula kwa urefu wa kamba yake, Kama unamhitaji MTU je una hakika kwamba yupo upande wako? Maana unaweza kumhitaji mtu awe wako wakati huo huo ANA MWINGINE ukabaki kuwa MHANGAπŸ˜‡
Wahenga wa kizungu walipata kunena;
"IN FOLLOWING YOUR HEART MAKE SURE YOU ARE READING ON THE SAME PAGE WITH YOUR PARTNER"
Muda mwingine unaweza kujua kwamba uko kwenye UHUSIANO SALAMA na kumbe wewe ni kivuli🌳 cha mwingine, kwamba umekuwepo ili kuondosha ukali wa MATATIZO YA MTU.
Upendo wenye KUMAANISHWA HUITOWESHA AIBU lakini ukiona upo kwa MIPAKA ujue wewe ni MWAMVULIπŸŒ‚ TU nyakati za JUAβ˜‚ ama MVUAβ˜” kumbuka wakati wa jioniπŸŒ‡ HUNA THAMANI TENA.
Huwezi kutaka kujua kama UNAPENDWA AMA HUPENDWI kwa MANENO MATAMU bali ni rahisi kujua ikiwa HUPENDWI au UNAPENDWA kwa MATENDO πŸ’‘
Aliyekupenda anajua kukufanya ujue ANAKUPENDAπŸ’
Share:

Related Posts:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright Β© 2025 UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU