Ewe mwanamke๐น
๐น Haipendezi kumtengea chakula mumeo kisha ukaondoka๐น.
๐นHaipendezi kumtengea pot la chakula mumeo kisha ajipakulie mwenyewe๐น
๐น Haipendezi kumtengea chakula mumeo kisha maji ya kunawa akatafute mwenyewe๐น
๐นHaipendezi kumtengea chakula mumeo kisha maji ya kunywa akatafute mwenyewe๐น
๐นHaipendezi Kumtengea chakula mumeo bila kumwambia karibu chakula laazizi wangu๐น
๐นHaipendezi mume kamaliza kula Kisha aangaike kutafuta kitambaa cha kufutia mikono๐น
๐นHaipendezi mume kamaliza kula vyombo vikabaki mezani wakati wewe mke upo nje unapiga umbea๐น
๐น Haipendezi Mume kamaliza kula Kisha aaze kufuta au kufagia sehemu aliyolia, wakati wewe upo umekaa unaangalia TV tu๐น
๐นEbu badirika๐น
๐นMume akiitaji chakula mtengee vizuri๐น
๐นMpakulie mumeo ukiwa umetulia
kisha mnawishe taratibu, ukimaliza mkaribishe kwa tabasamu๐น
๐นMlishe tonge mbili tatu za karibu bwana Kisha muache ale mwenyewe๐น
๐นKaa nae karibu ale huku anakuangalia mkewe, chakula kiingie tumboni vizuri๐น
๐นMume ana hadhi yake bhana ๐น
๐นRaha ya chakula mume ale mke ukiwa pembeni ๐น
๐นusimfanye mumeo akuone kama ujafundwa kwenu๐น
๐น Mapenzi ni vionjo tuuuu haina kwenda kwa waganga๐น
๐น jinsi utamvyomlea vizuri mumeo ndivyo nae atavyozidisha mapenzi kwako ๐น
SHARE NA WENGINE