-->

SOMA MKASA HUU WA KUSISIMUA , SIKIA KWA MWENZAKO TU OMBA ISIKUPATE


Mume ana rudi nyumbani anakuta mke hajapika yupo kitandani anachati facebook hana mpango
Mume: chakula vipi mke wangu
Mke: "Mikono hauna? Kabla haujanioa ulilala njaa? Acha kujidekeza mtoto wa kiume, niwahangaikie watoto iwaje nawe jitu zima? Kama inakuuma kapike, huwezi basi lala, utakula asubuhi nitapowapikia wanangu"
Mume: mmmh mke wangu kweli leo wewe wa kunifanyia hivi? Nimekukosea nini? Uliomba 30000 ya matumizi nalikupatia na ya nyongeza 20000, kazini kumenichosha, sijanunua chakula nikijua bajeti nimeiacha nyumbani mke wangu.
Mke: Niongee kiingereza ili unielewe? Mimi sio mtumwa wako, et nilikupa 20000 ya nyongeza, kwahiyo 50,000 niitetemekee? Inatosha nyanya na bamia, labda kwa masikini angekurudishia chenji.
Mume: Nilipokuwa bachela nilitumia pesa nyingi kununua chakula kwani nilikosa muda wa kupika, nilikuhitaji uwe wangu si kunipikia bali unisaidie kutimiza kwa malengo yangu kwa kunillsaidalia maandalizi ya chakula ili nisifuje pesa tena, nakupenda mke wangu, lakini kwanini hivi? ðŸ˜­
Mke: naona ulikuwa bado mtoto, ulifujaje pesa wakati unajua una majukumu mengi? Kwahiyo ukanioa ili uwe bahili? 50000 sio sababu, niache nichati na mashosti zangu nikichoka nilale, nenda jikoni baba kashike mwiko huwezi kitanda hiki hapa lala.
Mume: Hivi unajua Wanawake wangapi wanaopewa 50000 kwaajili ya matumizi ya chakula kwa siku? Nafanya hivi ili uwe huru kubalance bajeti yako ya vyakula, sikuingilii mama yangu, nakupenda sana ila usinifanyie hivyo, nipikie mke wangu. ðŸ˜­ðŸ˜­
Mke: Mwanaume gani usiyemsikivu nikiongea? Na hivi bado utaniuliza Maji ya kuoga, wakati unajua bomba lilipo, na bafu lilipo, yaani wanaume nyie zaidi ya watoto, mnakera sana.
Mume: Asante Mke wangu, mimi ni mwanaume mjinga labda pengine yupo anayestahili, lakini mbona staki kuamini hivi? Kwanini lakini? ðŸ˜­ðŸ˜­ðŸ˜­ðŸ˜­ðŸ˜­ðŸ˜­ lakini kama umenipa akili hapa ngoja nitafanya kitu halafu utaelewa kwanini nalia kwa majibu yako.
Mke: ooooh et nimekupa akili, usinitishe, nenda kapike huko, ushanioa sitaki kelele, potea kwanza, network yangu itakata bure kisa kiwingu chako hapa.
Je Mume ataamua nini? Vipi wewe ungekuwa ndiyo mume ungefanyaje?
Itaendelea.....
Share mara 2 Ili kupata sehemu itayoendelea pale tu itakapotoka. Kumbuka share mara 2.
Na utaipata kwa kuingia kwenye link hiyo na kufollow page, hapo utakuwa unaisubiria tu.
Mtia moyo
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU