Kila Mwanamke na afahamu hili;
• UPENDO WA MWANAUME KWA MWANAMKE NI SIRI MNO NA NI MARA CHACHE MWANAUME KUONYESHA UPENDO KWA MWANAMKE ILA UKIBAINI UNAPENDWA UNAWEZA KUJILIPUA KWA KUFA NA KUPONA UKIMLINDA MWANAUME HUYOπ―
Ukimpoteza Mwanaume mwenye UPENDO WA DHATI KWAKO niamini utakuwa mhanga wa MAPENZI maana kwa DUNIA inayokwenda kasi hivi wanaume HAWAONYESHI UPENDO WA DHATI ila wengi wao wana UPENDO WA DHIKI kwamba ili akuonyeshe japo kukujali na kukupa muda wake wanajitahidi kuhadaa ki MAHABA na wanawake msivyo watambuzi unajiona MALKIA kwa mlaghai π
Kwa sasa Wanawake mnajitahidi kupambania MAISHA YENU ila ujinga wenu ni pindi mnapolazimisha kuonekana mna pesa ili Mwanaume ajilete mwenyeweπππ
Maisha yamewaendea kombo wanaume wavivu Muda Mwingine hata wachapa kazi hata kujikuta wakijiandaa kuwa na Mwanamke mwenye nafasi tayari ili apate kivuli☔
Kwa sasa Wanawake wengi FURAHA NA AMANI mnayopata kwenye MAHUSIANO ama NDOA inatokana na UWEZO WAKO MWENYEWE KWA KUNUNUA HAYO KWA MWANAUME na kama Mwanamke huna hela kuvipata hivyo ni REHEMA YA MUNGU π
Kila Mwanaume wa sasa anajua vile Wanawake mnatafuta PESA ili kupata haja ya mioyo yenu na hilo ndo kosa mmefanya kwani wanaume ni kaka zenu wanawasoma majumbanani halafu wanakwenda kupeana udhaifu wenuππ
Kama kweli Mwanaume anakupenda HEBU USIMPE CHOCHOTE TUONE KAMA ATAKUBEBEA MKOBA NA KUKUPA MUDA WAKE PAMOJA NA KUJITOA KWAKOπ
Raha ya UPENDO WA KWELI ni kuwa kwenye uhusiano wa BURE Yaani mtu yupo nawe bila sababu kitu ambacho ni ADHIMU SANAAA KWA WANAUME WA LEO.
#Elista_kasema_ila_Sio_sheria π¨