Mwanamke nina swali kwako;
• KWANINI WANAUME WA SASA HAWASUMBUKI NA MWANAMKE AMBAYE HAJAWA MARKETABLE?

Kwanza kabisaa naomba nisieleweke katika kuharibu mitazamo ya wengine ⛔️ bali nipo kutoa semina elekezi kwa aliye na ufahamu abakie kufahamu anavyofahamu ila kwa mhitaji karibu tusemezane🤝
Kwa sasa hakika ya Mwanamke kupata Mwanaume anayemhitaji iwe kwa ndoto ama uhalisia wake lazima uwe umeji-brand 💯
Ujue kuendana na mahitaji ya Wanaume lakini pia uwe na mavazi mazuri pamoja na kujipamba sana lakini usisahau kutunza pesa kwa ajili ya kulinda uhusiano wako kwani WANAUME WENGI MTAZAMO WAO NI KUMKUTA MWANAMKE ALIYE NA MAHITAJI TAYARI.
Kuna wakati najisemea Mwanaume mwenye UPENDO ni Mume wa Mtu kuamua kumpenda house 🏠 girl 👧 ili amtoe kwenye uchakavu mpaka kuwa MWANAMKE 😂😂
Wanaume wanaogopa majukumu ndo maana ni ngumu kwa sasa kukuta Mwanaume anayejiona SHAROBARO kumchukuwa Mwanamke wa kumgharamia japo afanane nae😂
Wanataka wakute Mwanamke anajitosheleza ili WATELEZEEEE TU💯
Mwanamke ijue THAMANI YAKO na ukatae kuwa kioo cha Mwanaume kujitazama kama anafaa kukumiliki 😎
Kama kweli Mwanaume anakupenda mbona anakutaka wakati umependeza na ukiwa na mahitaji yote?
Maana ukimwambia hata akununulie blazia 👙 anakimbia vipi kama huna ubora alokukuta nao ANGEKUWA NAWE?
#Elista_kasema_ila_Sio_sheria 🔨